B+ ni marks ngapi on average kwa kila somo?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,013
Reaction score
104,474
Jamani B+ unatakiwa uwe unapata marks ngapi at least kwa kila somo.. on average upate ngapi kwa kila somo upate B+

Approved Minimum Entry Requirements for Health Related Programme (Diploma Holders)
All equivalent applicants need to have a Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least five (5) passes, including two credit passes in Chemistry and Biology and a ‘D’ grade in Physics PLUS appropriate Diploma or Advanced Diploma with an average of “B+’’ or GPA of 3.5 OR BSc (lower second) majoring in Physics/Mathematics, Chemistry, Biology /Zoology.
 
Inategemea chuo ulichosoma. UDSM na Mzumbe, kwa mfano, zinatofautiana.
 
Na swali.....nimesikia kwa wale ambao wamepata 4 mtiani wa 4m 4 ila na wana sifa or wame balance comb ila wana soma kwenye shule za private 4m 6 kuanzia u mwaka wana chukuliwa kama Private candidates tofauti na miaka mingine au??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeee MZUMBE mwisho GPA yao ni 4.4 but UDSM ni 5.0
Hapana. GPA ya 1st class au excellent Mzumbe inaanza na 4.4 mpaka 5. Ila A inaanza na maksi 74 tofauti UDSM ambapo A inaanza na maksi 70. Hii ndio tofauti yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…