Salaam wakuu!
Napata shida kuona inbox, sent, draft n.k(gmail dash board)!
Tatizo ni nini wakuu? Na ni jinsi gani naweza kutatua hili tatizo?
Napata display kama hii hapa chini baada ya ku'sign in
View attachment 996148
Sent using
Jamii Forums mobile app