B.a sociology

B.a sociology

what is sociology?!!! sometimes mnaposoma muwe mnasoma alama za nyakati. kama huna mtaji wa kujiajiri bora usome sayansi au masomo yanayokimbiwa na wengi ambayo ajira yake si ngumu kupata.....kukwepa hesabu+science subjects kutakugharimu.

kila mtu akisoma hesabu au science unadhani who will maintain the existence of society? bila sociology hakuna maisha nakuambia, nenda kwenye nyanja zote za jamii kisiasa, kiutamaduni, kijamii na kiuchumi kabla hujawaza hata nini usome sociology ndo imekupa hiyo consciousness, elewa pia riziki hupanga Mungu, hata hao waliosoma science si wote wana kazi au maisha mazuri, unapoamua kushauri basi shauri kweli na usimkatishe mwenzio tamaa, sasa ameshakua sociologist so arudi kusoma hesabu then umwajiri?
usikate tamaa ndugu, umesoma course nzuri sana and marketable, hata waliosaidia revolution huko ulaya na marekani ni sociologist so jiamini tuma maombi kwenye Ngos, banks,na taasisi za serikali zenye vitengo vya ustawi wa jamii au maendeleo ya jamii, pia uwe mvumilivu.all the best!!
 
asante kwa skukrani zako kazi umepata tuwasiliane tu sisi ndio watu tulio kwenye system
hAAAAAAH??????!!! WE UMEINGIA LINI KWENYE SYSTEM WKT KILA SIKU UNATAFUTA AJIRA HUMU? KUWA MKWELI DOGO TUTASHINDWA KUKUSAIDIA!!
 
hAAAAAAH??????!!! WE UMEINGIA LINI KWENYE SYSTEM WKT KILA SIKU UNATAFUTA AJIRA HUMU? KUWA MKWELI DOGO TUTASHINDWA KUKUSAIDIA!!

nipo ndani ya system but sijridhika i need more
 
Habari wadau wa mtandao huu, me ni kijana wa mika 23, nimehitimu degree ya kwanza ya sociology, natafuta kazi inayorelate na proffession yangu, natanguliza shukran za dhati.
Kazi ni juhudi zako na mpango wa Mungu pia although uko katika competation kubwa mnoo. Usichague wala kufikiria kuanzia juu sana hata jeshi usiache chance zikiapear muhimu upate kazi kinachoumiza wengi ni ktaka kufikia ndoto zao kufanya ktk mashirika makubwa weka hizi fikra kando.. Good Luck
 
Msaidieni kama kuna sehemu za kujishikiza. Ukianza mambo ya kusoma hiki wakati hakukisoma it is insanity!
 
Eti NGO...tanzania hii...endelea kujipa moyo hakuna fani iliyongumu kupata kazi km sociology. .mtu yoyote wa sayansi awe engineer. Doctor..nurse..pharmacist. .lab techonologist..hawakosi kazi tena wanapiga vijiwe viwili viwili..we umekremu ni ticha na doctor tu...endelea kuwadanganya wadogo zako wasome hkl., klf, hgl..na course zingine rahis rahis uone msoto wake..wanasheria kibao mtaani..la sivyo wasome kufuta ujinga ila wawe na mtaji wa ujasiriamali
daaah ndugu uko na fikra mgando kinoma hivi unajua kozi za busuness zinamwaga watu wangapi kitaa? daah jamaa angu cjui hata nikuelezeeje swala la kazi halijalishi umesoma kozi gani..bana..hao wanasheria ni unaowafahamu wewe..nimesema doctor na maticha sababu wanapriority..usitake unambie kila anaesoma hizo koz unazoshawishi watu kusoma..ndo atapata kazi halafu maisha sio kuajiriwa tu..upo hapo ndugu..!!!
 
Tatizo madogo wanapenda sana kuchagua kazi hawa!!

Utasikia wanaambizana habari za kuwa ma-project manager, yaani huwa hawawazi kazi za chini kama community facilitator n.k. Ukiwapa zile kubwa nazo hawawezi kupiga mzigo unaotakiwa masaa yote wako kwenye facebook tu!! Kizazi hiki tuna wakati mgumu sana. Nimefanya nao wengi sana ambao walidai wamesoma hiyo B.A. in Sociology yaani mpaka unajuta kwanini ulimwajiri!!?

Mimi namshauri akaanze na kazi yoyote iwe ndogo kiasi gani ili atengeneze kwanza CV yake, vinginevyo akikimbilia kwenye NGOs na kulilia u-meneja hataweza!

Hey guy, Hauwezi ukawa msomi wa kweli kabisaaa wewe.How can you bother and say wanaacha kusoma masomo ya sayansi na kukimbilia masomo marahisi? hii inaonyesho uelewa wako ulivyo kuwa narrowed hujui hata sociology iko ndoni ya hema la sayansi kazi kweli!!then umekkaa unakosoa kitu usichojua ,

Pili kilamtu angeamua kusoma hizo kozi unazoziita za sayansi tungefika tulipofikaa? yaani wewe hudui contribution ya sociologist in tanzania na duniani kwa udumla? you can't be serious may be you tried to check our mud if is not like that then stop that na kama ume/mli ajiri few sociologist then hawakuwa wazuri hauwezi ukajenerolizi kuwa all sociologist when given a chance they always do that sijui umetumia kigezo gani katika kufanya generalisation yako hiyo to me hii pia inakudisvalue kuwa wewe ni msomi wa namna gani unaefanya aproximation hivyo hii ni mbaya saana eti tuna wasomi gani unaweza kujiita msomi kweli hapa.
Then i am a sociologist but i am working as HR AND ADMIN at the same time unasema it is useless??????????? real sorry kama kuna niliye muudhi ila sociologist kama hujapata kazi utapata jitahidi kujituma mtafanikiwa kwa sasa kazi ni ngumu kupatikana na hata za walimu ,madoctors few year to come nao watakuwa wapo sawa na sociologist ktk kutafuta kazi please bro refer your teachers for tuition.
 
Sasa na wewe Mburura umetoka wapi? Unakurupuka kama umefumaniwa? Wewe vipi wewe, wapi niliposema wanakimbilia masomo rahisi na kukwepa Sayansi? Kwa nini usi-quote ile meseji inayozungumzia hilo badala ya ku-quote uzi mwingine kabisa. Ama ndo wasomi wa Sociology mko hivyo? Hebu jaribu kurudi kusoma hapo ulipoandikia na ujiulize ulikuwa unajibu kitu gani hapo? Mama unakuwa kama umetekenywa vile!!

Wasomi wa Sayansi ya Jamii!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom