Azure vs Amazon Lambda

Software Engineer

JF-Expert Member
Dec 20, 2014
344
137
Nimekuwa na host Web services (kama sehemu ya website) zetu kupitia Web Hosting Company kama vile godaddy, etc

Web services hizi huwa zinatumiwa na mobile apps zetu ku-access data kutoka kwenye database zetu.

Nilichogundua ni kwamba kumekuwepo na matatizo ya performance hasa speed(ya ku-load data kutoka kwenye server) n.k kutoka kwa watumiaji wa apps zetu.

Nimejaribu ku-deploy baadhi ya API(Web service) kwenye Azure(Trial Account), nimeona speed (ya ku-load data kutoka kwenye server) imekuwa nzuri sana.

Kwa wale wenye experience na hizi mambo, naombeni maoni yenu kuhusu Azure na Amazon Lambda.
 
Azure unatakiwa ufananishe na AWS (Amazon Web Services), Lambda ni service moja inayotolewa na AWS. Zote ni nzuri sana inategemea na mahitaji na unapenda ipi mwenyewe pia kuna Google Cloud ni similar service.

Hakikisha unafananisha na bei, hiyo host yako unayotumia sasa hivi unalipia ngapi? Na Azure/AWS itakucost ngapi? Kumbuka kuwa hizi zote unalipia kwa kadri unavyotumia resources zao.
 
Back
Top Bottom