Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Aiseee! Nlikuja kuamini kuwa bure ya ghali. Hivi vitu unapata uhondo almost karibu na Bure ila sasa tabu yake, channels zinavyo freeze, ww mwenyewe utakoma. Ila zinatusaidia kwa kweli. Natumia G6 na Dreambox. Dreambox ni babalao kwani ziko sokoni kwa zaidi ya miaka 10. Na hata wazungu wenyewe wamezikubali.
Nimerudi dar lakini hiyo improvement inayosemwa mimi sojaiona kabisaaa
Kitu ina stuck kama kawaida yake
Kunafundi nimeambiwa mtaalamu wa G6 anakuja jioni labda anaweza kuweka mambo sawa
Nimerudi dar lakini hiyo improvement inayosemwa mimi sojaiona kabisaaa
Kitu ina stuck kama kawaida yake
Kunafundi nimeambiwa mtaalamu wa G6 anakuja jioni labda anaweza kuweka mambo sawa
Ulichokinunua enzi hizo ukitumii sasa?Hivi haya madude bado yapogo?
Hivi haya madude bado yapogo?