hiyo kitu ni kweli wakuu inabidi kuwavumilia ila kama ni mechi za soka nawashauli mfunge aljazeera sport sababu katika hiyo g6 huwa haigandi mala kwa mala iko vizuri sana. kwa wale wa xmaster wao wanapeta iko vizuri haigandi gandi hata ukicheki d*tv. najalibu kuweka cccam kwenye g6 nikifauli nitawajulisha wakuu ila japo cccam huwa ni ghalama kidogo hasa kwa server za uingeleza ndo zipo stable.

Ndugu km unataka kula kama mwenye haki jisajili multichoice..kuwa mvulivu tu sie tulishazoea toka enzi za HAWK 7777 ndo maana kalaki na30 tuwazia kufanyie mambo mengne!!
kuna hii makitu inaitwa cccam ngoja wataalamu waje watujuze kidogo....!Wakuu toka nimenunua hii kitu G6 kiukweli sijawahi kufurahia maisha kabisa na siku zinavyo sogea ndio hali inazidi kuwa mbaya,
Yafuatayo ni matatizo yanayoninyima raha na kuwa karaha
Mosi, kina kata kata sana kuliko hata Startimes
Pili chaneli kupotea potea kila mara
Niliambiwa tatizo ni net wakati hapa kwangu mnara ukianguka unaniangukia na kwenye pc napata speed ya hatari mitandao yote
Nikaambiwa labda dish dogo nikanunua kubwa futi 8 sijui kitu bado inazingua
Nikabadilisha lbn nikaweka sijui mnaita ya hd hadithi ipo pale pale
Nikaweka vifurushi kila aina ikiwemo kuweka vocha ya sh 20elf lakini kitu full kukata kata
Naanza kupata wasiwasi na uwezo wa G6 hizi sababu server hazina mashiko inaonyesha kila keys zikibadili basi ngoma zinapoload lazima itakatakata na kustuck
Pia inaonyesha hawa jamaa server zao zimeanza kuzidiwa na kadri watumiaji tunavyozidi hali inazidi kuwa mbaya wakati wa mechi za epl ngoma inapoteza poteza chaneli nk
Kusema kweli huduma zao ni asilimia kama 35 tu ya kile nilikuwa natarajia kutoka kwao
Labda kuna mahali nakosea au labda kunamtumiaji wa G6 anaipata vizuri tunaomba kushere uzoefu ili tupate tunachotarajia kwa kuwa wakweli na wawazi
Mnakaribishwa
Munanikatisha tamaa nina wazo la kununua hayo g6 .naomba ushauri
hivi vitu vilianza kufanya vizuri sana. lakini kwa sasa server zao zimezidiwa na wateja. wanauza dunia nzima sasa, kwa hiyo number of user imekuwa kubwa kuliko uwezo wa server zao. imekuja A+ hii ni kampuni tofauti na G1.G2...G6. hawa A+ wao havikati kabisa kama ilivyo G1 ya zamani.
ila nao hawa A+ watapopata wateja wengi ... tutegemee kama haya ya G6
mbona mi nina g2 na haikatikati sana.nahisi mitandao huko muliko inasumbua
Haya mavitu ni ovyo kabisa , najutia pesa nilizopoteza, kweli nmeamini bore ni gharama, nashauri kama hujanunua usinunue kabisa haya matakataka!
Haya mavitu ni ovyo kabisa , najutia pesa nilizopoteza, kweli nmeamini bore ni gharama, nashauri kama hujanunua usinunue kabisa haya matakataka!
Mkuu natambua mwizi hawezi kula sawa na mwenye mali lakini sasa isiwe too much bana, kumbuka we pay for this kwa kutegemea angalau kupata kaunafuu na si karaha