Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,133
- 24,541
Wewe hujui MPIRA.Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha
Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka
Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa
Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele
Inasikitisha sana aisee 😭
Kama ni hivyo labda Samia kutokana na umri wake. Cose she knows how to to play fairly and rough.Kwenye ulingo wa siasa.
Azoee nini? Kwani dereva bodaboda yule?Bado mgeni wakimzoea watampa nafasi
Pengine hapa ana uwezo ila kuke amekutana na waliomzidi, ni swa na mtoto wa kayumba umshindanishe na mtoto wa international school, tumpe muda atakaa sawaAziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha
Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka
Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa
Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele
Inasikitisha sana aisee 😭
Usiwe na harakaAzoee nini? Kwani dereva bodaboda yule?
Tumekuelewa, dada anaenda kummwaga mtu soon.Mimi sio mtabiri ila naona huko mbele kuna mtu atakuja kukomenti NOO RIFOMU NOO ELEKSHENI
pole ya nini,kocha wala hajawafahamu wachezaji wake vizuri we subiri waende pre season uoneAziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha
Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka
Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa
Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele
Inasikitisha sana aisee 😭
Mjifunze,Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha
Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka
Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa
Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele
Inasikitisha sana aisee 😭
Member mnashida sana yani ww unata afke na kuanza ww ulisikia wapi ?Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha
Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka
Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa
Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele
Inasikitisha sana aisee 😭
Na yeye kwanini alienda? Si angelibaki kwa wabovu wenzie wa Yanga huku yeye akionekana staa?Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha
Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka
Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa
Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele
Inasikitisha sana aisee 😭
Mbape alijiunga na Real Madrid moja kwa moja akapata nambaAlexnda Anorld madrd jobe dotmund mwalim wydad wote hao wanapata zakutosha kwan wao wamejiunga lin na tim zao
Huwezi fika na kupewa dk zote 90. Ikitokea hivyo jua kikosi cha hiyo timu hakikuwa na wachezaji. Lazima upewe dakika chachechache kwanza ili uzoee na kuingia kwenye mfumo