Aziz Ki ni mzigo, anavumiliwa kwasababu ni mgeni

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,802
Kipindi cha kwanza ni kama Yanga walicheza wakiwa pungufu. Aziz Ki alikuwepo uwanjani kutimiza idadi ya wachezaji 11 lakini hakuwepo kabisa mchezoni. Ieleweke kiwango kibovu alichokionyesha dhidi ya USM Alger ni mwendelezo wa kiwango duni anachokionyesha ukiacha mechi chache zinazofanya watu wasahau mapungufu yake.

Aziz ni mchezaji wa matukio kama faulo na kupiga mijishuti ambapo siku akiamka vzr hufunga zaidi ya hapo hana lolote la maana.Inakuaje mchezaji wa level zake anashindwa kuzima mpira au kutoa pasi? Mara moja au mbili sawa,lakini yeye kila mpira akipewa anapoteza mara kaanguka mwenyewe mbaya zaidi anacheza namba 10 ikiwa ni sehemu muhimu kwenye kutengeneza mashambulizi. Kweli namba 10 km Aziz ni vipi mipira inaweza kuwafikia wafungaji?

Kipindi cha kwanza hadi kinaisha yeye ndie mchezaji alieongoza kupoteza pasi na kunyang'anywa mipira uwanjani. Kukaba hakabi,akipoteza mpira anatembea,sijapata ona namba 10 mbovu km huyu. Jana Nabi kajifunga mwenyewe kwa kuchelewa kufanya mabadiliko hasa kwa Aziz. Ili ushinde fainali lazima uwe na wachezaji 11 uwanjani wanaotimiza majukumu yao angalau kwa asilimia 80 na kuendelea. Jana Aziz kaonyesha kiwango kisichozidi 20%. Very very poor performance. Kwanini Nabi aliendelea kumwacha uwanjani hadi karibu dk ya 70?

Najiuliza kwa ubovu aliounyesha jana Aziz vipi km ingetokea kwa wachezaji wetu wa ndani km Kibu Denis,Mzamiru,Zawadi Mauya,au Mwamnyeto. Huenda jana ndo ingekua siku yake ya mwisho kucheza Yanga. Kasumba yetu ya kupenda wageni na kuwadharau wachezaji wa ndani ndio inafanya mtu km Aziz aongoze kulipwa mshahara mkubwa lakini uwanjani ni mzigo.

Mwisho,kwa jana Nabi kajifunga mwenyewe kwa kuchelewa kufanya mabadiliko. Kipindi cha pili tu kilipoanza alitakiwa kufanya mabadiliko ya haraka hasa kwa Aziz na Tuisila.

Kwa haya matokeo No doubt Yanga kaumaliza mwendo, kama hamuwajui "Ball boys"wa warabu safari hii mtawajua.
 
Umesema kweli. Japo mimi nilikuwa nashabikia waarabu lakini niliwaambia wana utopolo kule mbele manywele alikuwa hapati msaada na aziza kinabo na musonda ni mizigo.

Alipoingia shua boi na sokwe morisokwe angalau wanauto wakabadilika.

Kibwana shomari na dick ni wafupi kama stuli hawafai wale pia ni mizigo likija suala la faulo na kona.

Uto toka mashindano yaanze jana mmekutana na mpinzani wa kweli wale wa nyuma wote ni midebwedo.
 
Kwa haya matokeo No doubt Yanga kaumaliza mwendo,Km hamuwajui "Ball boys"wa warabu safari hii mtawajua.
Nabi atakuwa ball boy kama kule sudan🤣🤣🤣🤣 kila akichukia mpira arushe ndani mchezaji kadondoka anasubiria matibabu🤣🤣🤣🤣
 
Kwa elimu ipi ya ukocha na ujuzi upi ulionao unasema maneno haya?
 
Umesema kweli. Japo mimi nilikuwa nashabikia waarabu lakini niliwaambia wana utopolo kule mbele manywele alikuwa hapati msaada na aziza kinabo na musonda ni mizigo.

Alipoingia shua boi na sokwe morisokwe angalau wanauto wakabadilika.

Kibwana shomari na dick ni wafupi kama stuli hawafai wale pia ni mizigo likija suala la faulo na kona.

Uto toka mashindano yaanze jana mmekutana na mpinzani wa kweli wale wa nyuma wote ni midebwedo.
Ball burudani litatandazwa Algeria mpaka mshangae mpaka sasa Yanga bingwa kwa 50%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom