Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,286
Leo akimwiga Diara kupanda na timu atalia sana.
Atakuweka tuu Najua,Aziza Hawezi kutusumbua sisi.Ni tahadhari tu. Akae golini adake kama nyani.
Mbona kinyonge wewe kolo? Kufunga ngapi mbili au tatu?Yupo chini msimu huu, ila anaweza pia kufunga
Kufunga shuleMbona kinyonge wewe kolo? Kufunga ngapi mbili au tatu?