Kwa nini makabila mengine mnakuwa so inferior?? Yaani jambo zuri likimgusa mhaya hamuwezi kulifikiria kikawaida mpaka mulihusishe na uhaya??Wakuu
Hapo nyuma sikuwahi kulisikia wala kulisoma popote pale azimio la kagera, zaidi nilizoea kukutana na maazimio mbalimbali kama azimio la Arusha, azimio la Iringa na azimio la Tabora.
Hivi karibuni nimepata kulisikia azimio la kagera ambalo siku ya kilele chake ni leo likifanyika huko kagera na watu mbalimbali wamehudhuria, azimio hili nimelielewa kiufupi kwamba linahusiana na maonesho ya kilimo, ujumbe wake ni mzuri na unawalenga waswahili kwa hali halisi ilivyo sasa
Hii imenisukuma kutaka kulielewa hili azimio kiundani zaidi,
Azimio la kagera lilianzishwa lini, ni nani mwanzilishi wa azimio hili
Kwanini hapo nyuma alikuwahi kuazimishwa au maazimisho yalikuwepo mie tu sikuyasikia?
Mwaka huu yameshikiliwa sana na clouds media huku ikiwa ni suala la kitaifa na niwape pongezi bila wao ata mie nisingelijua, je nafasi ya serikali na vyombo vyake vya habari vinanafasi gani kuhusiana na azimio la kagera?
Au Ni uhaya na ukagera wa Ruge ameona kagera haina azimio kama ilivyo mikoa niliyotaja hapo na yeye kaamua kuutangaza mkoa wake kwa namna hii?
[HASHTAG]#AzimioLakagera[/HASHTAG]
Maswali ya msingi huyaoni?Kwa nini makabila mengine mnakuwa so inferior?? Yaani jambo zuri likimgusa mhaya hamuwezi kulifikiria kikawaida mpaka mulihusishe na uhaya??
Hata yangekuwa ya Mbeya, au Kigoma isingesaidia. Kwa nini hukuuliza kwa nini azimio la Arusha au la Tabora liitwa hivyo??Maswali ya msingi huyaoni?
Nimeuliza hivyo kwanini isiwe azimio la Mbeya na wanyakyusa?
Hii ndo shida ya wengi kitu kisifanyike kagera wanaogopa giant likiamuka litawapiga mbaya mbovu maana wahaya sio wa kawaida hata nyerere aliwaogopa na kusema kwamba watampinduaKwa nini makabila mengine mnakuwa so inferior?? Yaani jambo zuri likimgusa mhaya hamuwezi kulifikiria kikawaida mpaka mulihusishe na uhaya??
Unawaogopa wahaya si bure ndo maana huwapendiNdio mnashtuka sasa!!
Sawa umeeleweka ila nisaidie na hiliHata yangekuwa ya Mbeya, au Kigoma isingesaidia. Kwa nini hukuuliza kwa nini azimio la Arusha au la Tabora liitwa hivyo??
Na kama haitoshi kwa nini uihusishe ba uhaya wa Ruge?? Hakukuwa na sababu zingine za kufanya kujua sababu ya kuwa la Kagera mpaka hiyo tu ya ukabila na uhaya wa Ruge??? Stop being inferior, jiaminini na makabila yenu! Mnajishusha wenyewe alafu mnawasingizia wahaya wanajisifu.