marcusgarvey
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 891
- 235
- Thread starter
-
- #21
Utawadanganya Hao Hao " Wapumbavu Na Malofa " Wenzako Watakaokuamini Humu JF Na Kwa Kukuumbua Tu Juzi Huyo Huyo Mzee Lwaitama Kaja Kufanyiwa Exclusive Interview Na Media X Iliyopo Nyuma Ya Hotel Ya Kebbys Na Alipomaliza Tu Akatuaga Na Kwenda Moja Kwa Moja Airport Ambako Tokea Juzi Hiyo Hadi Hivi Leo Mzee Lwaitama Yupo Jijini Nairobi Nchini Kenya Kwa Wenyeji University Of Kenyatta Na Anarudi Jumanne au Jumatano Ijayo Na Kama Utataka Uthibitisho Nikupe Namba Yake Anayoitumia Sasa Huko Kenya Alipo Nitafute Ktk PM Nitakupa Ujiridhishe. Endelea Tu KUWATANGULIZA MAPOPOMA Wenzako Humu ILA Binafsi NIMESHAKUDHARAU KULIKOTUKUKA.
umeambiwa utunge nsha??
ungesema tu lwaitama yuko nairobi unadhani usingeeleweka!!?
Mzoga wa lidubwana ccm umeanza kutoa harufu kali sijui mtalibebaje kadri siku zinavyosonga.
Mwenye namba yenye whatsapp anitumie namba yake nimrushie picha ya lwaitama akiwa hapa dodoma wakti akijiunga rasmi chadema i leo
Nimemuumbua Vilivyo Huyo Mleta Mada Wenu Na Mwambieni Anibishie au Alete Tena Uwongo Kama Siyo Uzushi Wake Mwingine Wa Kumuhusu Dr. Azaveli Lwaitama Nimuumbue Tena. Anadhani JF Imejaa " Wapumbavu Na Malofa? ". Tupo Tunaojitambua Na Kujua Nini Kinaendelea Kila Sekunde, Dakika, Saa Na Siku Zote.
Ni yule lwaitama au! Maana jina la pili linachanganya!
Amekakabidhiwa kadi na benson kigaira hapa dodoma