Good idea lkn katika swala la michango kwa kila mwz it will be long process ushauri wangu km inawezekana kushilikisha uongozi wa azania sec school then wadau waitwe iwe km fund rising hapo malengo yanaweza kutimia
Wazo zuri kapistrano
Heshima kwenu GTs,
Mimi ni mmojawapo wa alumni wa Azania Secondary. Katika kuhamasisha wanafunzi kupenda kusoma hasa somo la hesabu, napendekeza wanafunzi wote tuliosoma Azania (PCM) tuanzishe award tutakayokuwa tunaitoa kwa BEST student (at least B score) katika mtihani wa form six (National) kila mwaka kwa miaka mitano then tutafanya tathmini kuona impact ya hiyo award. Zawadi inaweza kuwa cash au material thing(s). Namna ya kupata pesa ni kipitia monthly contributions.
Nawasilisha.
MMH SASA MUANZISHE AWARD HIZO NUIE WENYEWE MLIINGIA NA DIVISHENI THREE DAH HAYO MAMBO YAFANYE KIBAHA sec na SIO AZANIA
mkuu keen kwanza samahani kwa kejeli ,naomba basi nielekeze vizuri hiyo thread sijaielewahujaeleweka mpigamsuli
mkuu keen kwanza samahani kwa kejeli ,naomba basi nielekeze vizuri hiyo thread sijaielewa
Lindugani alinitoa sana O-Level.
1996 - 1999
Sana aisee, enzi hizo Tshs 200/= kila jumamosi mambo yanakua poa. Yaani ilikua ukisikia Azania ujue ni Azania kweli.Jamaa alikuwa mzuri,mitihani yake ya SEBAMASE ilitutoa wengi!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Aza boy shamba la ONE!Sana aisee, enzi hizo Tshs 200/= kila jumamosi mambo yanakua poa. Yaani ilikua ukisikia Azania ujue ni Azania kweli.
Sio sasa watoto wanagonga Div Zero nyingi kuliko hata total of Div 1-4
Mzee umefukua uzi wa 2013 ha ha ha [emoji23]. "In the having of peace Azania stand at ease, to waken, strengthen, feeds our hungry minds " .....You are known far and wide.....we will never forget you" ....lilikuwa bonge la school anthem.Aza boy shamba la ONE!
Ha hahaaaaaaaa!!! Azania of today Azania yesterday, Azania forever we will always say, you are known far and wide.....Mzee umefukua uzi wa 2013 ha ha ha [emoji23]. "In the having of peace Azania stand at ease, to waken, strengthen, feeds our hungry minds " .....You are known far and wide.....we will never forget you" ....lilikuwa bonge la school anthem.