Azania Bank wameanza kuita

Azania Bank wameanza kuita

miminani

Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
51
Reaction score
7
Habari wakuu .. nimepata tetesi kuwa Azania bank wameanza kuita watu kwa ajili ya interview na itafanyika chuo cha IFM .. mwenye updates kamili atujuze maana hata mimi nimeapply lakini sijapigiwa simu.
 
ONLY shortlisted candidate can be contacted for interview.....!!!!😛ainkiller:!😛ainkiller:
 
ni kweli mdogo wangu kaitwa plz tujezeni maswali wanayouliza kwa wale waliowahi fanya interview hpo natanguliza shukrani
 
me nimepigiwa simu leo asubuhi ,,,interview tareh 11 saa 2 asubuhi ....jamani anayejua wanaulizaje hyo written interview atujuze apa
 
Back
Top Bottom