AzamTV: TBC 1 hakuna sauti

Sungurawembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
414
Reaction score
55
Wakuu naomba kufahamishwa tatizo ni nini? Natumia King'amuzi cha AZAMTV, TBC-1 hakuna sauti ila channeli nyingine ziko vizuri kabisa.
 
Wakuu naomba kufahamishwa tatizo ni nini? Natumia King'amuzi cha AZAMTV, TBC-1 hakuna sauti ila channeli nyingine ziko vizuri kabisa.

Umeshafanikiwa au bado kama bado ni call 0713666725 na uwe kwny tv yako na remote sasahivi
 
Ngoja na mi nijaribu..natumia DSTV lakini TBC 1 peke yake haina sauti. Ngoja umeme urudi hapa nijaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…