brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
TFF imeonyesha udhaifu mkubwa(jipu) baada ya kuiruhusu azam fc kuacha ligi kuu kwenda kushiriki bonanza nchini zambia la timu 4, huu ni mwaliko kutoka zesco, michezo 2 ya azam ligi kuu imeahirishwa na weekend hii walitakiwa wacheze na stand utd. kufuatia hali hiyo wapinzani wake wa karibu simba na yanga na wao wanasema wataondoka nchini kwani wamepata mwaliko maalumu, yanga inataka kwenda south africa huku simba ikataka kwenda kenya, huu mchezo unafanya ligi kudharaulika, hivi ni ligi gani duniani mechi zinahairishwa kiholela hivi? azam fc wanaifanya tff kama shamba la bibi.