Azam wanao andaa vipindi wanafeli sana

Azam wanao andaa vipindi wanafeli sana

TAKE NOTE

Member
Joined
May 28, 2019
Posts
13
Reaction score
10
Ni ukweli usiopingika king'amuzi hiki kimepoteza ubora siku hizi, yaani toka ligi zimalizike na toka local channel zifungiwe kimekosa ubora kabisa yaani mfano wa hizi channel;
1.AZAM TWO
Hii channel toka iache kuonyesha taarifa ya habari masaa 24 inaonyesha film yaani uhuru,Beinteha,fatmagul,na sultan. Unashindwa kuelewa wameshindwa kuendana na soko la wateja wake hawaoni hata mfano wa channel za HBO na nyinginezo.
2.AZAM ONE.
Hii channel yani hata vipindi vyake havieleweki sijui wanao produce hivi vipindi wanacho kifanya ni nn

3.SINEMA ZETU.
Nahisi hata haifai kuzungumziwa maana hata filamu za ndani wanazo onyesha wanajua mapungufu yake wenyewe kila mara wanazirudia hizo hizo licha ya kuwa filamu mbovu kbsa

4.AZAM SPORT HD
ligi kuu pamoja na ligi ya ya spain imeisha sasa badala ya kwenda na wakati wao wamebakia kuonyesha marudio ya mechi katika vipindi vyote badala wao waende sambamba na nyakati wao wamekazana kuonyesha marudio yaani unalipia kiasi kikubwa unakuja kukuta marudio tu waangalie channel mbalimbali zinazo onyesha michezo hawako kama wao.

5.AZAM SPORTS 2.
Hii channel jinsi wanavyo fanya kwenye channel ya zam sport hd ndivyo wanavyo fanya hawana mbinu mbadala asubuh hadi jioni wanarudia mechi za ligi zilizo isha.

6. Zipo channel nyingi sana ambazo ukizifatilia huwezi kuelewa zipo kwasababu zipi ukienda kwenye OTHER CHANNEL huko ndo tabu sana yaani nisiseme sana ila iukweli ambae ana andaa vipindi na kuamua channel zipi ziwekwe ni tatizo sana na

KWA HALI HII AZAM INAPOTEZA UBORA HIZI NI BAADHI YA CHANNEL TU MFANO NANI ANAJUA CHANNEL YA AZAM EXTRA INA KAZI GANI IPO UKIULIZA UNAAMBIWA NIYA KUMSAIDIA FUNDI YAANI INASIKITISHA SANA..

6.
 
Dstv nao malalamiko juu yao yamekua mengi, kubalini mabadiliko
 
😬😬😠😠😎😎
Sisi ni soka burudani inaendelea...............
 
Mi nina miezi kama 6 hivi sijalipia kisumbusi chao nimekuwa infomed kwama wamejipa miezi 7 kurudisha local chanel na kujipanga zaidi. Nafikiri itafika januari 2020. Labda wakirudi kivingine nitalipia kipindi hicho.
 
uhai wanaonyesha taarifa habari saa mbili,na alasiri ,
sijui kwanini hakionekani kwenye king'amuzi cha azam,,wakati ni channel yao......
 
Back
Top Bottom