Azam vs Coastal Union, live kutoka Chamazi

Azam vs Coastal Union, live kutoka Chamazi

Azam wakishinda leo itakuwa ni kwa sababu ya kurudi Stewart au ni coincidence tu ya matokeo mazuri na kurudi kwa kocha?
 
Lameck Dayton anaingia for CUSC.
Atupele Green anatoka...
 
forza hamis mcha viali kwa goli la nne na ni Dk 30 toka kipindi cha pili kianze..
 
FT Azam 4 - 1 coastal union

Nilishasema huko awali na ninarudia hapa tena kuwa msimu huu una all the hallmarks za kuisha kama utabiri wangu niliotoa few weeks ago. Angalia hapa chini, position ya 5 na kuendelea inaweza kubadilika lakini ya 1 - 4 pretty much the same...

Ligi itaisha hivi (8 bora):

1. Yanga (Bingwa)
2. Azam (mshindi wa pili)
3. Simba / Coastal
4. Simba / Coastal
5. Mtibwa
6. Prisons
7. Toto
8. Ruvu JKT

Simba sevuni hii post na msikimbie mwishoni mwa ligi!
 
Mkuu Masuke umeona makocha wenye akili (Stewart)? Najua Azam watabadirika sana sasa hivi,luckily Simba wameshamalizana nao duru hili la kwanza,sisi tutapambana nao Jumapili bahati mbaya waliyo nayo ni kuwa watacheza na team iliyochanganya mwendo kuelekea kwenye ubingwa
 
Last edited by a moderator:
We lost it well.
No regrets, Azam FC deserved it all.
 
Hongera Azam japo kuna ubaguzi kwa washangiliaji wenu

Kimetokea nini mkuu?
Ila kaa ukijua kuwa wale wapiga kelele wa Azam sio washabiki wa soka, ni watu walio kazini na wanalipwa kwa kazi yao. Kuna uwezekano hawajui chochote kuhusu soka...
 
Mkuu Masuke umeona makocha wenye akili (Stewart)? Najua Azam watabadirika sana sasa hivi,luckily Simba wameshamalizana nao duru hili la kwanza,sisi tutapambana nao Jumapili bahati mbaya waliyo nayo ni kuwa watacheza na team iliyochanganya mwendo kuelekea kwenye ubingwa
Ha ha ha ha ha, haya mkuu nawatakia mchanganyo mwendo mwema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom