mkuu umeme umekatika niwekee link ya azam nitazame kupitia simTido muhando anaongoza majadiliano hayo yaliyojikita katika masuala ya muungano.
Waalikwa ni Bashiru Ally, January Makamba, Balozi Karume na Mwenyekiti wa ACT wazalendo Mama Anna Mghwira.
Tufuatilie
Mama yetu Anna yupo vizuri,kazungumza vizuri round ya kwanza kwamba serikali iwe wazi kwa maswala ya Muungano na sio serikali iendavyo sasa kwa kuangalia chama kwanza badala ya wananchi maana unapaswa angalia wananchi wanataka nini then chama baadaeNaona hakuwa wale wenye mtizamo wa kati ili tupate majadiliano mazuri
Ni kweli kabisa ......mama kapiga nondo hadi Makamba anatikisa kichwa.Mama yetu Anna yupo vizuri,kazungumza vizuri round ya kwanza kwamba serikali iwe wazi kwa maswala ya Muungano na sio serikali iendavyo sasa kwa kuangalia chama kwanza badala ya wananchi maana unapaswa angalia wananchi wanataka nini then chama baadae
Huyu mama ni mwanasiasa wa kweli hajazunguka mbuyu,ye kaung'oa moja kwa moja,nadhani hawa ndio Watanzania wanaopaswa wekwa ikulu pale wawe wanamshauri RaisNi kweli kabisa ......mama kapiga nondo hadi Makamba anatikisa kichwa.