Azam Tv wanaforce kuuza antenna

Azam Tv wanaforce kuuza antenna

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,285
Reaction score
39,490
Leo nilikua na brother tumetafuta sana azam king’amuzi tumefeli kupata dish lakin zipo antenna. Tumezunguka sana mpaka tukaenda kariakoo tukakutana na mawakala wa azam wanakwambia dish unapata kwa 180,000 kwasababu dish sahv ni adimu wanauza mzigo wa store tu, antena hazifanyi vizuri sokoni hvo mpaka stock ya antena iishe ndo dish zitoke.

Wadau hawajazikubali antenna zimefeli sokoni hivyo wanaforce kuuza kwa nguvu, ikabidi tulipe 180k tupewe dish. Kwa dizaini hii azam wanazingua sana waliletaje antenna bila fanya research kwanza?? Na sisi tulitaka azam kwaajili ya kupata local channels na ligi ya bongo bhs.
 
Kisimbuzi cha anntena vinatumia network minara sio kwamba ni vibaya, ila hivi vinatumika palipo na network yao tu.

Hata startimes wanavyo vya antenna tunatumia vizuri tuu bila shida,
 
Kwani wameshaanza kuviuza hivyo vya antenna
 
natamani mwenye majibu anielimishe na mimi
Tofauti kua dishi ni satellite Kwahiyo utaweza kupata matangazo hata ukiwa mapolin huko, lakin kwa antenna mpaka kuwe na minara ambayo imefungwa ila kwa ubora kama sehemu uliyopo kuna minara basi chukua antenna maan hata kuwe na mvua, upepo ngoma inapeta kama kawaida na vyote vinatumia hdmi Kwahiyo ubora wa picha ni uleule the same kwenye dishi
 
Mimi ligi ya bongo naangalia mechi ya Simba na Yanga tu wakicheza Mwadui na Ihefu hata huwa sihangaiki

Kwa msimu huu Simba na Yanga wameshacheza mechi mbili ya ligi mzunguko wa kwanza na kombe la mapinduzi bado mechi ya ligi

Ikitokea wakakutana na kombe la Azam Federetion Cup basi watakuwa wamekutana mara nne msimu huu

Kwenda kibanda umiza mara nne kwa msimu sio kesi kwangu, wacha nibaki na DSTV yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti kua dishi ni satellite Kwahiyo utaweza kupata matangazo hata ukiwa mapolin huko, lakin kwa antenna mpaka kuwe na minara ambayo imefungwa ila kwa ubora kama sehemu uliyopo kuna minara basi chukua antenna maan hata kuwe na mvua, upepo ngoma inapeta kama kawaida na vyote vinatumia hdmi Kwahiyo ubora wa picha ni uleule the same kwenye dishi
ahsante sana mkuu nimekusoma
 
Leo nilikua na brother tumetafuta sana azam king’amuzi tumefeli kupata dish lakin zipo antenna. Tumezunguka sana mpaka tukaenda kariakoo tukakutana na mawakala wa azam wanakwambia dish unapata kwa 180,000 kwasababu dish sahv ni adimu wanauza mzigo wa store tu, antena hazifanyi vizuri sokoni hvo mpaka stock ya antena iishe ndo dish zitoke.

Wadau hawajazikubali antenna zimefeli sokoni hivyo wanaforce kuuza kwa nguvu, ikabidi tulipe 180k tupewe dish. Kwa dizaini hii azam wanazingua sana waliletaje antenna bila fanya research kwanza?? Na sisi tulitaka azam kwaajili ya kupata local channels na ligi ya bongo bhs.
Nunua dish la kampuni nyingine ila decoder ununue ya azam. Tafuta fundi siyo lazima ununue dish la azam
 
Kisimbuzi cha anntena vinatumia network minara sio kwamba ni vibaya, ila hivi vinatumika palipo na network yao tu.

Hata startimes wanavyo vya antenna tunatumia vizuri tuu bila shida,
Vipi ndg loko chaneli ni bure kwa hawa jamaa
 
Back
Top Bottom