Azam Tv signal search

Azam Tv signal search

Arsenalist1

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
163
Reaction score
50
Habari wadau.. Fundi ninae mtegemea kasafiri na dish langu lilicheza kidogo, Nimejaribu kuliweka sawa ila signal napata intensity 80% na signal 45%, kuna Baadhi ya channel chache hazioneshi na zingine Zote zipo vizuri na hazigandi, sasa kuna jamaa Kaja ananambia Itakua ni wire, ila kabla sijanunua Huo wire naomba wajuzi mnishauri..Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kupata channel zote vizuri bila kuscratch hata moja inabidi uwe na signal quality not less than 62% .. LNB yako inaonekana ipo vizuri mkuu hata nikicheck signal intensity ipo vizuri. Kwenye waya make sure hakuna any loose connection juu kwenye LnB na pia kwenye king'amuzi chenyewe. Kaza mpka mwisho inapogota kabisa. Na apo zungusha antenna yako(dish) mpka signal quality 62% na kuendeleaa then hakikisha umekaza vizuri upepo usiliamishe dish lako.
Kama ulipoweka dish pameoza hamishia sehemu nyingine stable.
Then thank me later

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom