GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
kwakweli hata mimi huu ubepari wa kila TV station kuwa na king'amuzi chake siutaki, ninacho kimoja tu habari nyingine nasikiliza kwenye radio na kusoma magazeti na mitandao.Hizi stori nitaendelea kuzisikia na kuzisomaga tu
Maana nishanunua ving'amuzi viwili toka kujiunga na digital continental na star times
Na sina mpango wa kufuja tena pesa yangu kwa maving'amuzi