Hawa ni super wasanii hapo chanel kibao hazipo...wao wanatoa tu lkn hawaongezi chanel..pia hata remote yao kwenye namba haifanyi kazi,bora hata zuku..Sawa hawa jamaa wana mapungufu yao lakini kwa chaneli hizi hapa chini kwa Tsh 12,500 kwa mwezi na hata usipolipa hata senti hizo za bure unapata free si haba kwa akina siye....... wamehaidi kuongeza mambo mazuri kwani ndio wameanza......yaani hizo K24 na NTV ndio tunapayukaaaaa........tuweke akiba kidogo lol.... ukitaka kuenjoy kiviiiile gusa kwa jamaa zetu waleeeee....tena premium...aaah utaenjoy ile mbaya......
FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold
MBC1
MB2
MBC3
MBC4
MBCAction
MBCMax
BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours
MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme
MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV
MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science
MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape
HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now
WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids
CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
KTN
ITV
EATV
Bukkede
NBS
TV West
Urban tv
Citizen tv
K24 ipo hewani,mimi tatizo langu ni remote inaenda kasi kama ndege tulizoziona uwanja wa taifa,muungano day,halafu unapoongeza au kupungjza sauti badala ya kufanya hivyo inaenda kwenye channel utajikuta upoZTC wakati lengo ilikuwa kuongeza au kupunguza sauti,.
Na mwisho ongezeni channel za habari za kimataifa hizo mbili za BBC na Al Jazeera hazitoshi angalau ongezeni SkyNews au DW au CNN
NI 220,000/= hadi 300,000/= nilikosea hapo kwenye 22,000/= ahsante kwa kugunduamkuu uko sahihi????
Bei gani na unapata chaneli zangi kwa ujumla