Azam TV nao waanza usanii

Azam TV nao waanza usanii

Hizo za michezo ndio kabisaaaaaaa hakuna kitu karibia chanel zote zinaonyesha michezo ya ajabu ajabu, ukikuta wanaonyesha mpira basi ni marudio

Unataka kuona EPL kwa Tsh 12,500? Kuna mechi za live kibao bana sema sio ligi zetu zileee........Kweli tunatamani mambo makubwa zaidi lakini si kigezo cha kupoooooonda utadhani ni sawa na wale wachina bana.....
 
Hizo za michezo ndio kabisaaaaaaa hakuna kitu karibia chanel zote zinaonyesha michezo ya ajabu ajabu, ukikuta wanaonyesha mpira basi ni marudio

Sasa wewe kama unataka mpira kanunue DSTV.
Nani atakuonyesha mpira kwa 12500


Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Hata kwenye dstv NTV, K24 haifanyi kazi Tanzania. Ukienda Kenya Channel Ten na TBC pia hazionekani sijajua why ila nilipokuwa ilikuwa haionekani
 
Nauliza hivi: Unapokuwa haujaweka bandle hiyo ya 12500 ni channel zipi unaachiwa uangalie bure? kama tunavyoona startimes huonyesha local channel bure.
Najifikiria kununua iki kidubwasha6¦16¦16¦1
 
lawama nyingi sana ila jiulize unalipa sh ngap? kuna aliekushka mkono uhamie azam? km hakuna rudi ulikokuwa, unataka league ya ulaya kwa 12,500. tutasubr sn. sisi watz kupongeza dakika moja kuponda wiki mbili.
Nimeamini humu jukwaani kuna watu wanatumia akili za kuazima, hivi wewe unajua tupo watu wangapi tunaolipia hiyo 12,500 kwa mwezi! haya hebu kumbuka zamani tulikua tunatizama UEFA kupitia chanel ten tena bure bila hata kulipia cent moja halafu leo tunalipia 12,500 wewe unaona haiwezekani kuangalia mpira eti 12,500 ni kidogo!!!!!, Hebu funguka akili mbona bado una mawazo mgando???????????
 
kuna kipindi niliwahi kuleta mawazo yangu hapa hapa jukwaani kuhusiana na azam tv nikisema kwamba hawa jamaa ni wababaishaji wa hali ya juu nikimaanisha kuwa hata chanel zilizopo kwenye kisimbuzi chao ni za kibwege sana, hebu ona karibu robo tatu ya chanel zote kwenye kisimbuzi chao ni za maigizo na chache habar na wale wapenda kandanda hususan ueropa hakuna kitu hii maana yake nini!, haya kwa wale wapenda habar sasa hiv hawataweza tena kuona k24 wala ntv na muda sio mrefu tutaambiwa mbc zote nazo hazionekani kwa sabubu hizo hizo za kijinga. mimi binafsi nathubutu kusema kwamba hawa azam tv ni WABABAISHAJI TU hawana jipya ni yale yale tu ya startimes, ting, continental na digtek.

Kwa majungu tu haujambo! Haya na wewe lete kisimbuzi chako tununue
 
mnataka ligi za majuu kwa 12500 hii haiwezekani wekeni dstv.
 
Sawa hawa jamaa wana mapungufu yao lakini kwa chaneli hizi hapa chini kwa Tsh 12,500 kwa mwezi na hata usipolipa hata senti hizo za bure unapata free si haba kwa akina siye....... wamehaidi kuongeza mambo mazuri kwani ndio wameanza......yaani hizo K24 na NTV ndio tunapayukaaaaa........tuweke akiba kidogo lol.... ukitaka kuenjoy kiviiiile gusa kwa jamaa zetu waleeeee....tena premium...aaah utaenjoy ile mbaya......

FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold

MBC1
MB2
MBC3
MBC4
MBCAction
MBCMax


BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours


MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme

MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV

MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science

MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape

HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now

WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids

CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
KTN

ITV
EATV
Bukkede
NBS
TV West
Urban tv
Citizen tv

Eti hata usipolipia unaona! Acha uongo , mimi nilichelewa kulipa mara mbili na walikata sikuona kitu mpaka nilipolipa.. Sijui nani kakudanganya?
 
vp wataonyesha game ya leo kati ya taifa starz dhidi ya burundi!
 
Eti hata usipolipia unaona! Acha uongo , mimi nilichelewa kulipa mara mbili na walikata sikuona kitu mpaka nilipolipa.. Sijui nani kakudanganya?

Hizo chaneli zote za bure hata usipolipia unaziona zote.Angalia list ya chaneli utaona package ya chaneli za bure.

Kudanganywa ndugu?........unaweza kulidanganya tumbo lako?....😛hoto:
 
Hizo chaneli zote za bure hata usipolipia unaziona zote.Angalia list ya chaneli utaona package ya chaneli za bure.

Kudanganywa ndugu?........unaweza kulidanganya tumbo lako?....😛hoto:

hajadanganywa usipolipia baada ya wiki 2 wanakata na za free.
 
hivi ving'amuzi sijawahi kushawishika kununua maana unanunua na kulipa jela nyingi lakini hamna kitu mpango mzima ni kujikusanya unanunua dish lako la futi 6 unaanza kula mambo yote bureeeeee kwa bei rahisi bila karaha aisee

Bei gani na unapata chaneli zangi kwa ujumla
 
Back
Top Bottom