Azam TV nao waanza usanii

Azam TV nao waanza usanii

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
3,716
Reaction score
2,218
Azam TV
Wadau,
Tunapokea taarifa kutoka kwenu
kuwa chanel za ZBC,K24 na NTV
zinaandika ACCESS DENIED.
Kuhusu channel hizi za Kenya yaani
K24 na NTV,hazitoweza tena
kupatikana ndani ya Azam TV kwani
tumepaswa kuziondoa kutokana na
kutokuwa na haki za kuendelea
kuzirusha nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa Wahusika wa hizo
chanel,wametutaka tuzitoe na
hazipaswi kuoneshwa nje ya mipaka
ya Kenya...poleni kwa usumbufu
wowote mliyoupata na
utakaojitokeza.
Kuhusu ZBC sasa imerudi hewani
lilikuwa ni tatizo la kiufundi tu lakini
sasa limeshashughulikiwa na
inaruka kama kawaida.
Azam TV Burudani kwa Wote.
 
ahaah!ndio vigezo na masharti vimeanza kuzingatiwa-waweke mbadala wa channel nzuri.
 
Ni kweli hizo channels hazipatikani kabisa basi kama vipi watuwekee E! Entertainment na BET.
 
kuna kipindi niliwahi kuleta mawazo yangu hapa hapa jukwaani kuhusiana na azam tv nikisema kwamba hawa jamaa ni wababaishaji wa hali ya juu nikimaanisha kuwa hata chanel zilizopo kwenye kisimbuzi chao ni za kibwege sana, hebu ona karibu robo tatu ya chanel zote kwenye kisimbuzi chao ni za maigizo na chache habar na wale wapenda kandanda hususan ueropa hakuna kitu hii maana yake nini!, haya kwa wale wapenda habar sasa hiv hawataweza tena kuona k24 wala ntv na muda sio mrefu tutaambiwa mbc zote nazo hazionekani kwa sabubu hizo hizo za kijinga. mimi binafsi nathubutu kusema kwamba hawa azam tv ni WABABAISHAJI TU hawana jipya ni yale yale tu ya startimes, ting, continental na digtek.
 
yani kazi kweli mimi hme zipo mbili naona nimeingia choocha kijeshi.
 
Wanajiita BURUDANI KWA WOTE badala ya maigizo kwa wote....kuna aljaazira nyingi sana za kizushi wameweka, lakini wameshindwa kuweka Aljaazira sport.!!?
 
hivi ving'amuzi sijawahi kushawishika kununua maana unanunua na kulipa jela nyingi lakini hamna kitu mpango mzima ni kujikusanya unanunua dish lako la futi 6 unaanza kula mambo yote bureeeeee kwa bei rahisi bila karaha aisee
 
wameniuzi sana....yaani niligawa cha startimes kwa ajili yao lkm ndio hivyo wametoa K24....mbona Startimes K24 Ipo?.....*Azam wameanza uhuni,hata mimi ntawakwepa
 
Wanajiita BURUDANI KWA WOTE badala ya maigizo kwa wote....kuna aljaazira nyingi sana za kizushi wameweka, lakini wameshindwa kuweka Aljaazira sport.!!?
Na hii kauli mbiu yao ndo inanikera kabisa sijui walikua na maana ipi waliposema BURUDANI KWA WOTE mamake kila chanel kwenye kisimbuzi chao niki-turn nakutana na maigizo na chache nakuta habari zilizobaki nakutana na music au cartoons. Cha kushangaza hata zile chanel za azam one na two ambazo zilikua zinarusha ligi kuu tanzania bara mara baada ya ligi kuisha nazo full time wanaonesha madudu ambayo hata sijui maana ake nini!!!. kwa mimi bado nashangaa hii kauli mbiu ina maanisha kitu gani na kama ni burudani kwa wote je, wapenda kandanda wao waende chanel gani kwenye kisimbuzi cha azam tv ili waone mpira???????????????????
 
Sawa hawa jamaa wana mapungufu yao lakini kwa chaneli hizi hapa chini kwa Tsh 12,500 kwa mwezi na hata usipolipa hata senti hizo za bure unapata free si haba kwa akina siye....... wamehaidi kuongeza mambo mazuri kwani ndio wameanza......yaani hizo K24 na NTV ndio tunapayukaaaaa........tuweke akiba kidogo lol.... ukitaka kuenjoy kiviiiile gusa kwa jamaa zetu waleeeee....tena premium...aaah utaenjoy ile mbaya......

FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold

MBC1
MB2
MBC3
MBC4
MBCAction
MBCMax


BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours


MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme

MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV

MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science

MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape

HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now

WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids

CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
KTN

ITV
EATV
Bukkede
NBS
TV West
Urban tv
Citizen tv
 
Sawa hawa jamaa wana mapungufu yao lakini kwa chaneli hizi hapa chini kwa Tsh 12,500 kwa mwezi na hata usipolipa hata senti hizo za bure unapata free si haba kwa akina siye....... wamehaidi kuongeza mambo mazuri kwani ndio wameanza......yaani hizo K24 na NTV ndio tunapayukaaaaa........tuweke akiba kidogo lol.... ukitaka kuenjoy kiviiiile gusa kwa jamaa zetu waleeeee....tena premium...aaah utaenjoy ile mbaya......

FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold

MBC1
MB2
MBC3
MBC4
MBCAction
MBCMax


BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours


MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme

MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV

MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science

MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape

HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now

WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids

CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
KTN

ITV
EATV
Bukkede
NBS
TV West
Urban tv
Citizen tv
Hizo za michezo ndio kabisaaaaaaa hakuna kitu karibia chanel zote zinaonyesha michezo ya ajabu ajabu, ukikuta wanaonyesha mpira basi ni marudio
 
lawama nyingi sana ila jiulize unalipa sh ngap? kuna aliekushka mkono uhamie azam? km hakuna rudi ulikokuwa, unataka league ya ulaya kwa 12,500. tutasubr sn. sisi watz kupongeza dakika moja kuponda wiki mbili.
 
Nlitaka kununua hicho king'amzi, nmestisha kwa muda mpaka ntakapo pata ushawishi mpya. Wakuu siku ligi ikianza mniambie ntanunua...
 
Back
Top Bottom