Azam TV mbona hamueleweki

babkaju3

Senior Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
118
Reaction score
94
Habari wanajamii,

Nimekuwa mteja wa decoder ya azam tv nilivutiwa sana na huduma zao katika king'amuzi chao hapo mwanzo lakina naona kila kukicha wanazidi kutukomoa wateja wake hapo mwanzo ilikuwa muda wa bundle ukiisha unaachiwa baadhi ya channel free kama TBC1, TV1 n.k

lakini sasa hivi iyo TV1 wameitoa na iliyobaki TBC1 kuna wakati ni kama unasikiliza redio au wanaweza wakatoa sauti sasa nashindwa kuelewa Maana ya free channel na ukizingatia kila kukicha wana pandisha bei ya ma bundle yao. ....asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na CAPITAL TV
 
Nasikia hizo local channels nazo wanazilipia kodi, hivyo lazima nawe ulipie.

There is no free lunch mkuu.
 
Hili ungewauliza TCRA maana ndio waliosema kuhusu channel 5 kwa kila king'amuzi kuonyeshwa bure.
Naona DSTV wao huwa wanaacha TBC1 na Chanel 10.

TCRA inabidi waambie Watanzania kuwa hilo swala la channel 5 za bure halipo na halitekelezeki.
 
Huu mfumo wa digital tumelazimishiwa kabla ya kujipanga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…