Kiukweli kabisa huwezi kulinganisha Dstv na Azam tv.
Kiumri hawalingani Dstv wana zaidi ya miaka 25 wakati Azam tv ndio mwaka wa kwanza.
Idadi ya channel hawalingani.
Ubora wa channel hawalingani.
Viwango vya ulipaji hawalingani...
List ni ndefu lakini cha msingi kuelewa ni kuwa Azam tv ni kwa ajili ya watu wenye vipato vidogo na vikubwa bila kuwabagua.
Ndio maana nembo yao inasomeka BURUDANI KWA WOTE.
125,000 wangu ndo bei sahihi.Alafu hivi bei sahihi ya king'amuzi cha azam ni sh ngapi?maana nimeenda kuulizia pale mwenge maeneo ya tarakea wanauza 180,000 wakati kuna MTU kaniambia kanunua 130,000 tegeta
Hata kama Azam tv ni kwa ajili ya makabwela kama mimi basi tupewe tunachotaka
beinsport unaweza kuipata kwenye king'amuzi chochote ilimladi kiwe na sehemu ya kuchomeka smartcard na sharti king'amuzi chako kiwe mpg4, unachofanya ni kununua smartcard yao na unatafuta dish la futi8 unacheki ligi ya mipira ya ulaya, au kama una decoda hizi za kisasa mfano xmaster 3g min hd, au qsat23 nazingine za aina hii unachofanya unatafuta dish la kawaida la futi6 c-band unalielekeza juu unapata belnsports na kuna namba furani hivi ukiziingiza unaipata bure kabisa hakuna kulipia hata shilingi moja huwezi amini, wanaonye mechi zote za epl, n.k.Hivi zile chaneli za Bein sports zinapatikana kwenye king'amuzi gani?
Kiukweli kabisa huwezi kulinganisha Dstv na Azam tv.
Kiumri hawalingani Dstv wana zaidi ya miaka 25 wakati Azam tv ndio mwaka wa kwanza.
Idadi ya channel hawalingani.
Ubora wa channel hawalingani.
Viwango vya ulipaji hawalingani...
List ni ndefu lakini cha msingi kuelewa ni kuwa Azam tv ni kwa ajili ya watu wenye vipato vidogo na vikubwa bila kuwabagua.
Ndio maana nembo yao inasomeka BURUDANI KWA WOTE.
Kampuni nyingine zinaanzishwa vituo vya Tv ilimradi ijulikane wanamiliki TvNi juzi tu mlishindwa kurusha world cup,hamjaweza kurusha Kagame na hata EPL hamrushi hata mechi moja ukiachia mbali UEFA.
Hamuoni wenzenu startimes,hamuoni atn,hamuoni tbc na kibaya zaidi hata tbc2 kunakorushwa uefa nyinyi hiyo hamna.
Nataka tu niwaulize,hivi sie wateja wenu wapenzi wa soka mnatuplease vipi? Mnatuletea ligi za holland zitusaidie nini ama mnafurahia tu kupokea 12500 kila mwezi tena kwa vitisho?
Kuweni makini kabla biashara yenu haijaanza kudoda make najua mteja hata mmoja wa kudumu katika biashara ni sawa na mfalme kwako.
Ni juzi tu mlishindwa kurusha world cup,hamjaweza kurusha Kagame na hata EPL hamrushi hata mechi moja ukiachia mbali UEFA.
Hamuoni wenzenu startimes,hamuoni atn,hamuoni tbc na kibaya zaidi hata tbc2 kunakorushwa uefa nyinyi hiyo hamna.
Nataka tu niwaulize,hivi sie wateja wenu wapenzi wa soka mnatuplease vipi? Mnatuletea ligi za holland zitusaidie nini ama mnafurahia tu kupokea 12500 kila mwezi tena kwa vitisho?
Kuweni makini kabla biashara yenu haijaanza kudoda make najua mteja hata mmoja wa kudumu katika biashara ni sawa na mfalme kwako.
beinsport unaweza kuipata kwenye king'amuzi chochote ilimladi kiwe na sehemu ya kuchomeka smartcard na sharti king'amuzi chako kiwe mpg4, unachofanya ni kununua smartcard yao na unatafuta dish la futi8 unacheki ligi ya mipira ya ulaya, au kama una decoda hizi za kisasa mfano xmaster 3g min hd, au qsat23 nazingine za aina hii unachofanya unatafuta dish la kawaida la futi6 c-band unalielekeza juu unapata belnsports na kuna namba furani hivi ukiziingiza unaipata bure kabisa hakuna kulipia hata shilingi moja huwezi amini, wanaonye mechi zote za epl, n.k.
siku hizi DSTV wana tabia isiyofaa, airtime ikiisha wanakata mpaka local chaneli
kama unataka mpira lipa dstv laki na arobaini tu. wewe unataka mipira kwa elfu 12500
*MIKATABA INABANA WAUNGWANA SI KUSUDiO LAO*
Hawa azam tv,channel za kihindi na kiarabu ndo mengi.
Hamna chanel ya kikristo,huo ubaguzi abadilike,tushamkimbia wengine
Je kiislamu zimo? Nunua TING kama wewe kweli ni mpenda dini.Hawa azam tv,channel za kihindi na kiarabu ndo mengi.
Hamna chanel ya kikristo,huo ubaguzi abadilike,tushamkimbia wengine