ni juzi tu mlishindwa kurusha world cup,hamjaweza kurusha kagame na hata epl hamrushi hata mechi moja ukiachia mbali uefa ...hamuoni wenzenu startimes,hamuoni atn,hamuoni tbc na kibaya zaidi hata tbc2 kunakorushwa uefa nyinyi hiyo hamna ...nataka tu niwaulize,hivi sie wateja wenu wapenzi wa soka mnatuplease vip? mnatuletea ligi za holland zitusaidie nini ama mnafurahia tu kupokea 12500 kila mwezi tena kwa vitisho? kuweni makini kabla biashara yenu haijaanza kudoda make najua mteja hata mmoja wa kudumu katika biashara ni sawa na mfalme kwako
TBC2 WANARUSHA UEFA?toka lini?
Kwa hiyo12500?
Sent from my D5503 using Tapatalk
ni juzi tu mlishindwa kurusha world cup,hamjaweza kurusha kagame na hata epl hamrushi hata mechi moja ukiachia mbali uefa ...hamuoni wenzenu startimes,hamuoni atn,hamuoni tbc na kibaya zaidi hata tbc2 kunakorushwa uefa nyinyi hiyo hamna ...nataka tu niwaulize,hivi sie wateja wenu wapenzi wa soka mnatuplease vip? mnatuletea ligi za holland zitusaidie nini ama mnafurahia tu kupokea 12500 kila mwezi tena kwa vitisho? kuweni makini kabla biashara yenu haijaanza kudoda make najua mteja hata mmoja wa kudumu katika biashara ni sawa na mfalme kwako
I have said it before and I will say it again that. DSTv is the only decoder in East. Central and Southern Africa. ting hd. continental. azam. startimes na zuku zote hamna kitu na hata ije nyingine sitahama Dstv. mida hii sina usingizi nina chnl zaidi ya mia nne at my disporsal . zote bomba.