Pumba tupu.
Watu wanataka kuona mpira 'live' na sio hadithi za kamera. Hizi hadithi za kamera zinamfaa Muhidini Issa Michuzi na Ludovic lakini sio sisi hapa JF.
kwahio ving'amuzi vya azam vinatoka lini?
niwaambie wimbo usio wa Bongo Flavour unaohusiana na swala hili: 'mtoto wacha kupiga mayowe, wache watu waone wenyewe'!chanzo Mwanaspoti:
Hongereni Azam kwa kuonyesha utofauti kwenye soka la Tanzania.
Bado mpaka wazindue ving'amuzi vyao vya "Azam".!
Pumba tupu.
Watu wanataka kuona mpira 'live' na sio hadithi za kamera. Hizi hadithi
za kamera zinamfaa Muhidini Issa Michuzi na Ludovic lakini sio sisi hapa
JF.
Hawajatangaza tarehe rasmi, tuendelee kusubiri.!!
Ni kweli ila wanaomba tutoe mawazo yetu king'amuzi na vifurushi viuzwe kiasi gani na pia channel zipi ndio mnapenda ziwepo kwenye hicho king'amuzi wametoa twitter account yao azam_tv ndio tujaze ili iwe rahisi kwao kupata nini wananchi na wateja wao wanataka !Kwenye makaratasi tunataka vitendo zaid
Hii ni kama "RICHMOND" tu.
Haina tofauti kwani zote ni kampun za mfukoni tu.