Azam Tv inapoteza mvuto

Hawa jamaa ndio maana hata kwenye timu yao ya Azam wanafeli pamoja na uwekezaji wao kuwa mkubwa.

wana ingilia taaluma za wakurugenzi wao ndio maana wanaboronga.

Mtu kama Tido ni kichwa sana lakini hapewi nafasi afanye kazi yake vizuri.

ndio maana Wanapoteza mvuto kwa kujaza machanel yasiokua na kichwa wala miguu.
 
Ukitaka kufurahia machaneli ya muziki, reality shows, na documentary nunua Zuku hawana mpinzani katika hilo hata DSTV anagwaya ubaya wao sasa hawa machoko wanakata hadi TBC hawakuachii hata moja pale kifurushi chako kitakapoisha.

utabaki na radios na channels za kidini ikiwemo Top tv ya Ceaser masisi na channel za kamari. Ila kama ni mpenzi wa sports huku utachemka kuna Fox sports tu 😝😝
 
Ni kwasababu ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani

Ramadhani imeisha sasa utaziona mpaka ukinai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…