Azam Tv inapoteza mvuto

Tamthilia za Nigeria tunazijua sana zilivyo ila watu waliangalia waliziangalia na mambo yao mengine wakawaachia bila lawama,bongo movie nao kama wakaiga wanigeria hasa movie za Kanumba ila watu wanaangalia mengine wanayaacha kama yalivyo,tamthilia ya siri za familia mwishoni mwishoni ilikuwa dini mwanzo mwisho ila watu hawakuleta lawama wakawaachia mambo yao,Tbc kutwa nyimbo za dini ila watu wanapotezea tu.



Kwa kifupi haya mambo haya mambo hayajaanza Azam tv,tatizo hayo mengine yote yanaonekana ya kawaida kwao watu washazoea,sasa Azamtv ni kama wanaleta kitu ambacho ni kinyume na watu walivyozoea ndio maana unaona malalamiko ingawaje kuna Ting ambayo tangu kitambo tu ina mambo zaidi ya hayo .
 
Mkuu ukitaka machaneli ya muziki nunua zuku ukitaka documentary channels nunua DSTV na Zuku ukitaka filamu za kihindi nunua Startimes ukitaka filamu za mapigano na zinazokwenda na wakati nunua DSTV ukitaka Michezo nunua Azam na DSTV sasa chaguo ni lako
 
Mkuu hawa watu wanadamu za chuki na uislamu.
 
Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa


Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na

Udini unaimaliza azam
Ok tumekusikia sasa unataka nini unataka na wewe uweshehe? Sikunyingine ukija hapa uje na ushahidi wa picha kama hunapicha tupa kule
 
Tulia mkuu icho ni kisimbuzi cha dini ya mwenyazi Mungu.
Wanaboa sana

Hizo cineme zao sijui zetu ndio wameshindwa kutoa tuzo hata kwa wazawa


Tuzo wanawapa eti Wa Irani sijui wahindi na Wa turuki .

Hovyo sana
 
Hivi kunamtu anateseka??? Au kunamtu alikufunga kamba kununua king'amuzi cha azamu mbona vipo ving'amuzi vinamambambio ya kutosha na kumsifu bwana hawaendi kununua acheni to go mbaya mmekuwa kama wanawake wa kizaramu kuku mle nyie mpangaji akipika anachafua nyumba kwa harufu usioipenda? Andamaneni muende kwa kakobe mkashitaki
 
Umaarufu wa Azam umeshikiliwa na ligi kuu ya mpira Tz.
Vinginevyo hakuna mtu wa kulipia channel hii.
Kuanzia sasa hadi mwezi wa Nane itakapoanza ligi kuu watapoteza mapato mengi sana.
Timu za ligi kuu wajiulize wananufaika na nini kutokana na kuonyeshwa kwa mechi zao kupitia Azam TV.
Timu hizi ikiwa ni pamoja na Yanga hali za za kiuchumi ni duni sana wakati Azam Tv wanavuna mabilioni kutokana na kuonyesha mechi zao.
 
Hapana kijana. Nilihesabisha sensa ya mwaka 2012 kwenye dodoso hapakuwa na swali la dini. Na tulipigwa marufuku kabisa kuhusu maswali ya dini. Kama uliulizwa basi ulikuwa nchi nyingine si Tanzania
 
Hapana kijana. Nilihesabisha sensa ya mwaka 2012 kwenye dodoso hapakuwa na swali la dini. Na tulipigwa marufuku kabisa kuhusu maswali ya dini. Kama uliulizwa basi ulikuwa nchi nyingine si Tanzania
Niliulizwa nikiwa Jiji la Mwanza, manispaa ya Nyamagana kata ya Butimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…