Azam TV anavizidi ving'amuzi vingine

Azam TV anavizidi ving'amuzi vingine

Strong ladg

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
407
Reaction score
1,056
Miaka kadhaa iliyopita, Azam TV alikuwa anazidiwa na kampuni nyingine kama Star Times kwa idadi ya ving'amuzi lakini kwa sasa hali ni tofauti. Azam TV ndiye anaeongoza na anavizidi ving'amuzi vingine mbali kwa idadi ya watumiaji. Hii ni kwa mujibu wa takwimu za TCRA zinazitaja idadi ya ving'amuzi ambavyo vililipiwa angalau mara moja kwa mwezi kati ya mwezi Januari na Machi 2025.
Hongera kwake ,
1000166881.jpg
kupambana na DSTV waliojiwekea ufalme kwa miaka mingi pamoja na Star Times ambao wanapendelewa na serikali hivyo kufanya ving'amuzi vyao kupatikana kwa bei rahisi ( according to Reginald Mengi kwenye kitabu chake) si mchezo.
 
Lini DSTV ving'amuzi vyao vimekuwa rahisi? Siku hizi wanaviuza kama mafungu ya nyanya, ukinunua muziki mnene utakuwa kwenye vifurushi vyao
 
Back
Top Bottom