Azam TV acheni ubabaishaji

Azam TV acheni ubabaishaji

Huenda wamepigwa ban wasikirushe maana unajua tatizo mambo ya recorded watu wakipitia upya na kusoma alama za nyakati wanaona 85% ya kipindi mtu kajivua nguo na kuwaanika wenzake waliopo nyuma yake mmh hapo lazima kipigwe stop na kujaribu ku edit upya au kisirushwe kabisa. Sasa huenda Tido yupo ktk mgogoro na bosi wake bosi anasema usikirushe tido anataka reason why au tido mwenyewe akakosa cha kuja kutudanganya au na yeye kasusa
 
Dr. Mihogo kasepa baada ya kula za uso facebook jana, tembelea akaunt yake uone mihemuko
 
Walisema kitarudiwa pia saa moja usiku leo, wasipoonesha na muda huo kutakuwa na walakini.
 
Slaa katuharibia sana chadema katuvua nguo aise watu tumepga dili yy anaropoka yani kaniboa sana
 
Back
Top Bottom