Azam TV acheni kutuchakachua

Azam TV acheni kutuchakachua

Azam Bwana mie wameshanimaliza steam! mwezi uliopita nilijaribu kuongeza kifurushi cha azam sports baada ya kulipia Azama play...Nilichokipata ni mauzauza..na hadi mwezi unakatika sikupata huduma na kila ukipiga namba za huduma kwa mteja unapigiwa majingle tu bila ya kupata kutatuliwa! sirudii tena!
 
Hatuna pa kukimbilia kwa sasa mkuu
 
Zanzibar Spices nakuona unaongeleaga sana azam TV nashangaa mpaka sasa hujatupa jibu Juu ya malalamiko yangu
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni Mmiliki wa kisimbuzi cha Azam, nimelipia package ya Sports. Cha kushangaza napata Azam Sport HD, Man Utd, Liverpool TV na Madrid TV.

Naomba kuuliza, hivi Fox Sport siyo channel ya michezo au Kombat Sport, MCS International Sport, hizi channel si za sports?

Kwanini hamziweki kwenye package ya sports?

Acheni kutuibia, kama mmeshasema channel za sports ni elfu 15, basi tuwekeeni channel zote za sports, na sio kutupiga changa la macho na hiyo Azam HD pekee. Au nyie hizi channel mnaziitaje kama sio za sports?

Acheni utapeli wa mchana kweupe tuwekeeni hizo channel kwenye package ya sports.

Au mmeanza kulewa Sifa kama DSTV?

Asante mkuu nilikuwa sijaiona hii post yako.
Kwanza AZAM ndio habari ya mjini,ukiikosa AZAM Tv basi jua dunia ya kasi imekuacha mbali sana.

Haya hoja yako:-
Siku zote maskini kama mie ukimpa offer basi na yeye atatoa offer yake ya kulazimisha na kufanya haelewi ulichomuambia na hii hadi kwenye kampuni za sim ni tatizo,na ndio maana huwekewa maneno ya Kigezo na masharti kuzingatiwa.

Azam walitangaza offer kulingana na marketing strategic plan zao kwa wateja wao kwa kipindi husika.Na kwa taarifa yako tu mkuu,Hawa jamaa huwa hawakurupuki.Ila kama umenunua Decoder juzi naweza kusema wewe ni mgeni kwao,ila sie tulionunua zamani tunaona kasi yao ya ajabu.

Kuhusu Channels za Sports,wao hawakusema kwamba wataweka zote,waliweka kwa maelezo yao.
Hata Dstv ambapo watu wanalipa zaidi ya laki moja kwa mwezi pia Channels nyingi tu za michezo hawana,ila sema tu kwa vile wamechukua zile maarufu ndio tunaona wamekamilika.Sasa itakuwa hiyo tsh:elf 15?

la pili hakuna mtoa huduma yoyote Duniani wa Television mwenye Channels zote za michezo,hilo Tambua kwanza.

Sasa kaka hujaibiwa kitu,na ndio maana umetoka Dstv umehamia Azam ulimwengu wa burudani,mambo huku Azam ni taratibu ila kwa uhakika.

Unanikumbusha wakati nasoma High School,ilikuwa kila siku ni ugali maharage,baada ya muda ikaja offer ya Wali na nyama kwa wiki mara moja,aisee tuli enjoy mpaka basi,yaani ikifika jioni unakoga kwanza ndio unakula kwa pozzz.
Sasa kilichofuata baada ya kuzoe,watu wakaanza kusema nyama zenyewe unapewa vipande viwili tuu,mara nyama zenyewe mafuta hazina,mara nyama zakulala,wengine walienda mbali na kusema nyama za mbwa.Sasa binaadam kama wewe wapo wengi,unalipa kidogo unataka makubwa.

Ushauri:
Jaribuni sana kufuatilia vipindi vya AZAM,huwa wanatoa maelezo na mikakati yao ya baadae,ndio utajua wapi wanaelekea,ila ukikurupushwa na mtu tu kwa kukusifia ubora wa AZAM bila kujua ndio matokeo yake haya.

Najua hizo Channels una refer kwenye Cables ambazo wale ni wazee wa kufvyonza,sasa huwezi kulinganisha na Brands kubwa kama hizi ambazo zinaheshim sana Rights za chennels husika.
Kuna channels hasa nyingi za Sports huwa kuna makubalianao ya kuzilipia na mazungumzo huenda Taratibu na ndio maana AZAM waliahidi kwamba ARSENAL TV nao wapo kwenye mazungumzo ili kujua itakuwaje hapo mbele.

Sasa usifikirie kusema sports chennes basi ni kugeuza Satelite ya AZAM na kurusha zote.

Vumilia kaka makubwa yanakuja,uliona macoverage ya kufa mtu kwenye uchaguzi.Basi hao ndio AZAM TEAM

Zanzibar Spices
Mwana familia wa wateja wa AZAM Tv
 
Mnaandaa nini sahivi Tv yenu imepoa, kwanini hamji na ratiba nzima ya vipindi vyenu kwa siku nzima kama mlivyohaidi huko nyuma?
 
Mi kifurushi cha azam sports nimeacha kununua.. huku zanzibar wana zanzibar cable wanacheck game zote kwa kifurushi cha 20000 tu... iwe spain.. england.. UEFA kote kote.. kasoro league ya bara tu.. mi niliboreka na azam nilipojua hata UEFA hawatuonyeshi.. na international games
 
Jana wakanishangaza kwa kufungia chaneli za Tbc na Zbc kwakuwa zilikuwa zinaonyesha mpira wa Taifa star!
 
Asante mkuu nilikuwa sijaiona hii post yako.
Kwanza AZAM ndio habari ya mjini,ukiikosa AZAM Tv basi jua dunia ya kasi imekuacha mbali sana.

Haya hoja yako:-
Siku zote maskini kama mie ukimpa offer basi na yeye atatoa offer yake ya kulazimisha na kufanya haelewi ulichomuambia na hii hadi kwenye kampuni za sim ni tatizo,na ndio maana huwekewa maneno ya Kigezo na masharti kuzingatiwa.

Azam walitangaza offer kulingana na marketing strategic plan zao kwa wateja wao kwa kipindi husika.Na kwa taarifa yako tu mkuu,Hawa jamaa huwa hawakurupuki.Ila kama umenunua Decoder juzi naweza kusema wewe ni mgeni kwao,ila sie tulionunua zamani tunaona kasi yao ya ajabu.

Kuhusu Channels za Sports,wao hawakusema kwamba wataweka zote,waliweka kwa maelezo yao.
Hata Dstv ambapo watu wanalipa zaidi ya laki moja kwa mwezi pia Channels nyingi tu za michezo hawana,ila sema tu kwa vile wamechukua zile maarufu ndio tunaona wamekamilika.Sasa itakuwa hiyo tsh:elf 15?

la pili hakuna mtoa huduma yoyote Duniani wa Television mwenye Channels zote za michezo,hilo Tambua kwanza.

Sasa kaka hujaibiwa kitu,na ndio maana umetoka Dstv umehamia Azam ulimwengu wa burudani,mambo huku Azam ni taratibu ila kwa uhakika.

Unanikumbusha wakati nasoma High School,ilikuwa kila siku ni ugali maharage,baada ya muda ikaja offer ya Wali na nyama kwa wiki mara moja,aisee tuli enjoy mpaka basi,yaani ikifika jioni unakoga kwanza ndio unakula kwa pozzz.
Sasa kilichofuata baada ya kuzoe,watu wakaanza kusema nyama zenyewe unapewa vipande viwili tuu,mara nyama zenyewe mafuta hazina,mara nyama zakulala,wengine walienda mbali na kusema nyama za mbwa.Sasa binaadam kama wewe wapo wengi,unalipa kidogo unataka makubwa.

Ushauri:
Jaribuni sana kufuatilia vipindi vya AZAM,huwa wanatoa maelezo na mikakati yao ya baadae,ndio utajua wapi wanaelekea,ila ukikurupushwa na mtu tu kwa kukusifia ubora wa AZAM bila kujua ndio matokeo yake haya.

Najua hizo Channels una refer kwenye Cables ambazo wale ni wazee wa kufvyonza,sasa huwezi kulinganisha na Brands kubwa kama hizi ambazo zinaheshim sana Rights za chennels husika.
Kuna channels hasa nyingi za Sports huwa kuna makubalianao ya kuzilipia na mazungumzo huenda Taratibu na ndio maana AZAM waliahidi kwamba ARSENAL TV nao wapo kwenye mazungumzo ili kujua itakuwaje hapo mbele.

Sasa usifikirie kusema sports chennes basi ni kugeuza Satelite ya AZAM na kurusha zote.

Vumilia kaka makubwa yanakuja,uliona macoverage ya kufa mtu kwenye uchaguzi.Basi hao ndio AZAM TEAM

Zanzibar Spices
Mwana familia wa wateja wa AZAM Tv

Mkuu naona umeamua kwenda mwanza kutoka DSM badala ya kupitia njia ya kati umeamua kupitia Arusha, Kenya ,Uganda ukazungukia Bukoba then ndo ukachukua meli ya MV Bukoba kufika Mwanza! We nijibu wanaposema channel za sport wanamaanisha nn? Na je hizo nilizozitaja hapo Juu siyo za sport? Au wameziweka kwenye kundi gani?

Tokea uchaguzi umeisha hakuna kipindi unachoweza kukaa kuangalia Azam Tv ndo maana wengine tunaponea kwenye kifurushi cha michezo, sasa kama hata kama furushi cha michezo mnachakachua kwann tusiseme? Basi kama VP wekeni channel zote za michezo sehem Moja Na kama mnaona hailipi ongezeni bei zake, hili kama unalipia michezo unajua unalipia michezo tu Na si kuanza kutuletea story za wali Na nyama. Cc azam Tv Zanzibar Spices
 
Last edited by a moderator:
Jana wakanishangaza kwa kufungia chaneli za Tbc na Zbc kwakuwa zilikuwa zinaonyesha mpira wa Taifa star!

Sasa hapa unalaumu AZAM tv au TBC waliokuwa na haki ya kuonyesha mechi hiyo.
Tatizo watu tunachukulia mambo kirahisi tu,huwezi kurusha mechi ambapo TFF wamempa haki TBC kuonyesha mechi.
Na ndio maana hata World Cup au CLub Bingwa Africa kuna miaka TBC waliokuwa wanaonyesha wao peke yao tu,na kulikuwa na TV Nyingine.

Sasa endapo TBC wangeruhusu irushwe,basi AZAM TV wangerusha moja kwa moja hata kwa MINI LIVE BROADCASTING

Mfano mdogo kama ni wafuatiliaji wa AZAM.
Kuna UBC ya Uganda,ilirusha mashindano ya Africa,AZAM wakaiacha live,baada ya muda wale kujua wakawa wanapitisha tangazo la kutorushwa mechi hiyo kwa kupitia providers woote waliopewa kibali cha kurusha UBC katika bundle zao.Baada ya muda matangazo yakakatwa,na walipewa onyo kali sana na UBC ya Uganda endapo wataendelea kutumia right ya kurusha matangazo ambao wao UBC wameilipa CAF.

Sasa the same to TBC,huwezi kulaumu AZAM TV kama mambo haya unayajua,hakuna anaefungia kituo ila kumiliki na kuendesha vituo vya Television kuna mambo mengi sana.TBC wangeruhusu basi AZAM TV ingerusha bila hiyana.
 
Mkuu naona umeamua kwenda mwanza kutoka DSM badala ya kupitia njia ya kati umeamua kupitia Arusha, Kenya ,Uganda ukazungukia Bukoba then ndo ukachukua meli ya MV Bukoba kufika Mwanza! We nijibu wanaposema channel za sport wanamaanisha nn? Na je hizo nilizozitaja hapo Juu siyo za sport? Au wameziweka kwenye kundi gani?

Tokea uchaguzi umeisha hakuna kipindi unachoweza kukaa kuangalia Azam Tv ndo maana wengine tunaponea kwenye kifurushi cha michezo, sasa kama hata kama furushi cha michezo mnachakachua kwann tusiseme? Basi kama VP wekeni channel zote za michezo sehem Moja Na kama mnaona hailipi ongezeni bei zake, hili kama unalipia michezo unajua unalipia michezo tu Na si kuanza kutuletea story za wali Na nyama. Cc azam Tv Zanzibar Spices

Mkuu itakuwa ulishauriwa vibaya na aliekushawishi kununua AZAM TV,maana sie ambao ni wadau tunajua Channel zipi walizotangaza kwa bundle hiyo.
Tatizo ni kwamba watu wengi wana mentality za DSTV wanazihamishia AZAM Tv.
Kila mtoa huduma anautaratibu wake.

Sasa wewe kama bundle inaruhusu ni muhim kuongeza bundle yenye uwezo wa Fox Sports,Kombat Sports
Na ndio maana kuna virushi vyenye kila channels,lazima tuweke heshima.

Issue sio kwamba hakuna issue ni kuongeza Salio na Kununua AZAM PLUS + PLAY au AZAM PLAY + SPORT,hapo utapata vyoote unavyotaka wewe.ongezea salio tu u upgrade kwa Sh Elf 35 - 40 ule raha.

Bado huduma ni rahisi sana,ndio maana nilisema kwamba lazima utofauti uwepo wa bundle ndogo na kubwa.

Hata hao Dstv wanaposema channel za spost sio kwamba Supersports zote zimo kwenye bundle husika.Sasa je wao tuseme?wanachakachua?jibu hapana ni utaratibu tu wa kuweka heshima kwa mwenye Noah na Range Rover Vogue.Ongeza Bundle mkuu upate hizo channels za ziada unazohitaji

attachment.php
 
Unamaanisha mm Nina Vitz so natakiwa kununua Vogue
 
Back
Top Bottom