Azam tufungulieni Channels Zingine kufidia "FTA" mlizoziondoa

Azam tufungulieni Channels Zingine kufidia "FTA" mlizoziondoa

Naunga mkono hoja azam pls rudisheni hela zetu huu ni usanii
 
Hata mimi nilikuwa na wazo kama hilo.Chonde kuna wateja wàmeanzà kuhama kuwarudisha itakuwa.kazi.
 
Back
Top Bottom