Tatizo la Sony wanauza na jina la brand yao wanabana sana kwenye upande wa bei ila quality wapo mbali sana ila ukitaka kubana kidogo matumizi TCL na Hisense ndio better options tena kama TCL hata Marekani anauza sana kwa sababu ya bei kuwa chini
Sina la kusema ila nadhan kuna vitu vingine pengine vya kuzngatiwa Ili uweze kua na HD chanel,hilo mimu silijui ila tu kiuhaisia HD n nzuri sana kutizama