Azam Media mnastahili pongezi

Waache waendelee kukariri na vihabari vyao vya kurekodi,mara ukute picha au video zimeingiliana ya taifaa hiyo.Mara mtangaza habari kagandishwa huku habari imegoma.Na tisa kumi leo nimeona kule taifa tv kuna muda ilijitokeza VLC MEDIA PLAYER wakati wakiripoti toka Dodoma.Sasa sijajua kuwa ilikuwaje kuwaje.Au walikuwa wanafanya ma installation.Sina jibu mnaojua nisaidieni
 

Wako poa sana
 
udhaifu wa azam upo ktk picha, zinaonekana kufifia kidogo. Mwanzoni wkt natumia cabletv, niliamini ni kwa sababu ya cable tv. sasa nina king'amzi cha startimes ambapo nilikuwa nakidaka kupitia channel ten. picha zinafifia, nahisi hawajapata mtu maakini wa kuchanganya rangi na background selection.

By the way, kwa nini hakipatikani startimes?
 
azam media safi sana...rangi iongezeeni maarifa ionekane vizuri..hongera sana mna waandishi bira kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni
 
watangazaji wengine walikuwa wanaogopa kuwahoji vigogo....lakini baruani muhuza alikuwa nao sambamba......safi sana tido mhando...super brain..safi sana bakhresa kwa kuleta viwango katika habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…