Azam Media mnastahili pongezi

Kzi nzuri sana azam wanafanya,kwa hili hii superbrand itabakia jina,Tido kazi nzuri sana,watanzania tumeikubali sana.
 
wapo online bt inasumbua kidogo kimtindo wezama tu utawakuta....jamaa wako vizur na azam two nawapata
 

Azam inaonekana na tv ya ughaibuni maana hatuipati kwenye local chanels. TCRA sijui wamepewa nini.
 
Azam wanastahili Pongezi huwa nilikuwa naona aibu sana nikiangalia TV za Kenya hasa Citizen wanavyosoma habari nikawa natamani ije itokee Tanzania Azam wameweza
 
Leo nimeshinda na Azam kama na mimi nipo Dodoma kukatana.!
 
acheni ushsmba mabwege ndio tv uone live event bado mmelala ndio mnaibiwa na hao viongozi wevi wa mali za nchi na bado mnamwambia tunakupenda mzee iba more
 
Isiishie kwa ccm tu! Nawasubiri wakati wa mchakato wa vyama vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…