Na ile ishu ya mabasi iliishia wapi?
asilete upuuzi wake tz
Afike kila kona ya Nchi hii si kubaki Dar kama
Star times ama hao wajanja wengine.
usifikiri ni rahisi kuinvest kama DSTVinakuja na full channels,mpira uefa,world cup etc.Dstv soon itabidi wachushe bei.
usifikiri ni rahisi kuinvest kama DSTV
Tajiri wetu sasa kaamua kutumia fursa iliyokuwepo kuingia kwenye media industry ya kuanzia satelite tv yake.mchakato sasahivi anaomba kibali TCRA.
Haya sasa waliukowepo wajipange sana sababu huyu mtu analeta ma exparties hamna mambo yakujuana hapa.
Hamna digitek,continental wala startimes itakayofua dafu.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kuficha ujinga ni kazi sana lakini usikate tamaa uwe unajaribu.Asilete upuuzi wake Tz
Na ile ishu ya mabasi iliishia wapi?
anakuja na ajezira sportsusifikiri ni rahisi kuinvest kama dstv