jamani eleweni kuwa uzinduzi bado haujafanyika bado.na kama hamjui bei ya king'amuzi mnyamaze.mi nipo azam tv head office na nafaham bei ya king'amuzi vizuri tu na malipo kwa mwezi sio buku 2 jamani.embu subirini vitoke alafu ndio muongee.customer service agent wa azam tv.
Hawezi kuonyesha EPL labda LA LIGA na Serial A, mwenye haki ya kuonyesha EPL ni DsTv tu! Msiwe wabishi kumbukeni vita ya DsTv na Gtv, mkataba wa EPL ni mkubwa hawezi kucharge 2000 kwa mwezi
mwenye haki ya kuonesha ligi ya uingereza ni aljaezira sport hao dstv wananunua kwa aljaezera hata mwaka alhadab spot ndo walishika tenda ya kuonesha epl
mwenye haki ya kuonesha ligi ya uingereza ni aljaezira sport hao dstv wananunua kwa aljaezera hata mwaka alhadab spot ndo walishika tenda ya kuonesha epl