Hata wamlete Mourinho bado Simba na Yanga ni dini za watanzania.
Ukweli ni kwamba wachezaji walioko azam hata sasa ni bora kuliko timu yoyote hapa Tanzania.
Tatizo kuu la azam fc ni kukosa hamasa za mashabiki kama za hawa kulwa na dotto.
Imagine kipindi Yanga anatembeza bakuli lakini anamaliza ligi nafasi ya pili azam fc nafasi ya tatu.
Ondoa watanzania wengi kwenye management weka wataalamu toka nje weka kocha wa uhakika na ongeza high quality players, ubingwa muhimu.