mbona imeandikwa sana na magazeti ya michezo au wewe unasoma tanzania daima na uhuru tu!walishinda mechi za ligi kuu na kutoa droo tu lakini hawakufungwa hata mechi moja
lakini waandishi wa bongo kama hawajaiona hii record du soka la bongo noma
walishinda mechi za ligi kuu na kutoa droo tu lakini hawakufungwa hata mechi moja
lakini waandishi wa bongo kama hawajaiona hii record du soka la bongo noma
Msimu ulioisha Azam Fc wana wa lamba lamba walishinda mechi za ligi kuu na kutoa droo tu bila hata kupoteza mechi moja.
Waandishi wa bongo kama hawajaiona hii rekodi, soka la bongo noma.