Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
Yakifika 3 -0 nishitue
Yakifika 3 -0 nishitue
Kazi nzuri Deo. Wa kunyumba wewe.Goal.
scorer:Kavumbagu
assist: Kipre tcheche.
minutes:37
Kazi nzuri Deo. Wa kunyumba wewe.
Nimekosa kuangalia hii mechi ya timu pendwa azamfc
Hamchelewi kukimbia jukwaa siku mkipigwa na kuwanza kusingizia SIMBA UKAWA,,,,,Duh! wanakuja spidi lamba lamba lakini cha moto watakiona wakikutana na watoto wa AVEVA.
Moto wa KOPUNOVIC kuuzima kazi.