Azam FC kama timu ya mchangani vile!

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,703
1,724
Wakuu, tokea timu hii ilipoanzishwa nilikuwa na matarajio ya kututoa majonzi Watanzania kwamba tumepata mkombozi katika soka. Hatukukaa kimya kwani tumekuwa tukiwashauri wasikumbwe na ugonjwa wa Usimba na Uyanga lakini si hivo inavofanyika. Mechi ya kombe la Mapinduzi mwaka huu mjini Zanzibar kati yake na Yanga ilifanya kufa ganzi, SIKUTARAJIA. Aibu mno kuwa na benchi la ufundi la aina hii. Bado safari ndefu heri Mbwana na Tomas waliona mbali!
 
Back
Top Bottom