Jamaldini pie
Senior Member
- Apr 13, 2017
- 162
- 120
- Thread starter
- #21
Mechi ya kirafiki
Azam fc 2 1Transit Fc
Azam fc 2 1Transit Fc
Chirwa akalime mahindi yake sasa,aliondoka Yanga kwa ngebe sana.ASANTENI NA KWAHERINIView attachment 1867079
Kwanini Yakubu ametemwa na tunabaki na mabeki wa HovyoASANTENI NA KWAHERINIView attachment 1867079
Inasikitisha sana lakini ndiyo football.Kwanini Yakubu ametemwa na tunabaki na mabeki wa Hovyo
Upumbavu.kwani kaondoa Yanga jana? Sasa ulitegemea yeye acheze bure Yanga? Ameshacheza misimu zaidi ya 3 Azam. Wale waliobaki Yanga wapo wapi? Huu ni Utopolo kweli kweli.....😂😂😂😂😂