Azam FC Bus at Kazungula Border post

Miundombinu wapo vizuri.....
Mishahara wanalipa kwa wakati ( japo ni ya kawaida).
Wanachukua wachezaji wa kawaida watakao walipa kawaida.
Hapa ndipo panaleta sintofahamu ya malengo halisi ya kuwekeza katika timu hiyo!
Kama wana uwezo kifedha kwanini wasisajili wachezaji nyota wakubwa wa kimataifa ili wafike mbali kimataifa?
Hii timu yao ya sasa pamoja uchezaji wao kasi lakini sidhani kama kwenye mashindano ya CAF watafika mbali! Sanasana kama watajitahidi basi wataingia makundi !
 
Wanataka kutajwatajwa ili bidhaa ziuzike, ila yanga ndio walijinasibu kununua aina hii ya basi ila mwishowe tukaona tata
 
Sababu ni Siasa za Simba na Yanga. Ukiondoa siasa kwenye mpira. Simba na Yanga zingekuwa zinashika nafasi ya 2 na 3.
Usijidanganye.....
Kuna kipindi waliwaondoa kina Bocco eti hawawezi lipa juu ya million mbili ( je hapo napo simba na yanga ni sababu?)
Azam hana pa kujificha, aambiwe ukweli anasajili wachezaji wa mafungu. ( wenzake wanatumia hela ili wakubalikevkwa mashabiki).
 
Big NO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…