Naona TCRA wameamua kuhangaika na wapenda vya bure.
Kuangalia TV, is not a basic human need. Asiye na uwezo wa kulipia akaangalie TV kwa jirani au asikilize radio.
Mambo ya dezo ndio yaliua mashirika ya umma, tukiyaendekeza yataua na mashirika binafsi.