Naona TCRA wameamua kuhanfaika na wapenda vya bure.
Kuangalia TV, is not a basic human needs. Asiye na uwezo wa kulipia akaangalie TV kwa jirani.
Mambo ya dezo ndio yaliua mashirika ya umma, tukiyaendekeza yataua na mashirika binafsi.
Tcra so ndio hawa viazi wanamwandikia barua roma then wanaikanusha?
Hakuna kitu pale.Naomba dstv nao wazime hadi tbc. Ili tusiwe tunaona live zao za magogoni. Tutaangalia jim jam sophia the first na tv za Kenya