Azam Antena

Azam Antena

King'amuzi kipo vzr minakitumia huku mkoani kipo vzr hakuna channel inayosumbua hata moja na upepo unapuliza balaa lkn hakiscratch hata kidogo nasubiri mvua zianze nione uthabiti wake kipindi cha mvua.
.channel pekee utakayoikosa ni Azam Extra
 
Back
Top Bottom