Swali muhimu ni je;
Source: Raia Mwema
- chama kinaweza kuwaapia Watanzania leo kwamba wasipokipatia ridhaa hiyo mwaka 2015 kitakabidhi madaraka kwa chama kitakachoshinda kwa kura nyingi?
- Na endapo CCM hakiwezi kuahidi hadharani kwa kuapa, upo uwezekano tukaanza kujadiliana jinsi ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa mapema ili kujenga kwanza muafaka wa kitaifa badala ya kuendelea na mipango ya uchaguzi tukiwa na huu uhasama uliojaa uroho, chuki, fitna na ndwele, ambao tumekwishaona tayari, unajenga misingi ya kuvunja taifa letu?
Maswali ya kitoto hayo.
Teh teh teh!uliza wewe yale ya kikubwa!Maswali ya kitoto hayo.
Swali muhimu ni je;
Source: Raia Mwema
- chama kinaweza kuwaapia Watanzania leo kwamba wasipokipatia ridhaa hiyo mwaka 2015 kitakabidhi madaraka kwa chama kitakachoshinda kwa kura nyingi?
- Na endapo CCM hakiwezi kuahidi hadharani kwa kuapa, upo uwezekano tukaanza kujadiliana jinsi ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa mapema ili kujenga kwanza muafaka wa kitaifa badala ya kuendelea na mipango ya uchaguzi tukiwa na huu uhasama uliojaa uroho, chuki, fitna na ndwele, ambao tumekwishaona tayari, unajenga misingi ya kuvunja taifa letu?
\RULERS never give in easily, think of plan B

Umenifanya nicheke kwani nina siku 3 niko serios! Asante mkuuKule kwetu zomba ni mdudu anayeviriga kinyesi na kukihifadhi kama akiba yake ya chakula!
Mungu ametupatia bahati kubwa sana kuzaliwa Tanzania. Jambo ambalo Mungu bado hajatupatia ni viongozi BORA na WENYE AKILI na UPENDO na nchi yao. Matatizo ni mengi sana na hayo yote yanategemea sana nguvu ya vyama vya upinzani kutunasua kutoka hapa tulipo. Kwa upande mwingine bwa Ryoba na wenzake wana kazi kubwa sana kuelimisha jamii yetu ili watu waelewe kuwa wamenasa kwenye mtego na hivyo wanapaswa kujinasua. Mungu wajalie Watanzania UELEWA ili nchi hii iende kwenye mwelekeo unaotakiwa.
Maswali ya kitoto au maswali usiyoyapenda?Maswali ya kitoto hayo.
Kweli huyu mdudu ZOMBA kiboko ....... kwa statement yako hii, nikitaka kucheka tu, naifungua..Kule kwetu zomba ni mdudu anayeviriga kinyesi na kukihifadhi kama akiba yake ya chakula!
Maswali ya kitoto hayo.
Hakuna kitu kibaya kama kutojitambua.I wish watanzania wengi wajiunge kwenye Jamii Forum ili wapate kuelimika na kupata uelewa wa upande wa pili.
Zomba tunahitaji viongozi waadilifu kwenye chama chetu kinachotawala hatuwezi kuwapata na kama wapo basi watakuwa waoga.
Zomba tuanze na UTANZANIA au UTAIFA kwanza vyama baadaye,tuombe Mungu tupate kiongozi /Rais makini,muadilifu,mcha mungu anayemuogopa mungu,siyo mdini,anayelipenda na yuko tayari kulifia taifa lake bila kujali dini,kabila au chama anachotokea.
Vyama vinaweza kufa lakini Tanzania/Tanganyika haiwezi kufa au kuondoka kwenye uso wa dunia.Tanzania Kwanza vyama baadaye
Maswali ya kitoto hayo.