Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,759
- 12,175
Swali muhimu ni je;
- chama kinaweza kuwaapia Watanzania leo kwamba wasipokipatia ridhaa hiyo mwaka 2015 kitakabidhi madaraka kwa chama kitakachoshinda kwa kura nyingi?
- Na endapo CCM hakiwezi kuahidi hadharani kwa kuapa, upo uwezekano tukaanza kujadiliana jinsi ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa mapema ili kujenga kwanza muafaka wa kitaifa badala ya kuendelea na mipango ya uchaguzi tukiwa na huu uhasama uliojaa uroho, chuki, fitna na ndwele, ambao tumekwishaona tayari, unajenga misingi ya kuvunja taifa letu?